Law. 26:6 SUV

6 Nami nitawapa amani katika nchi, tena mtalala wala hapana atakayewatia hofu; nami nitawakomesha wanyama wabaya katika nchi yenu, wala hautapita upanga katika nchi yenu.

Kusoma sura kamili Law. 26

Mtazamo Law. 26:6 katika mazingira