Yer. 1:18 SUV

18 Maana, tazama, nimekufanya leo kuwa mji wenye boma, na nguzo ya chuma, na kuta za shaba, juu ya nchi yote; juu ya wafalme wa Yuda, na juu ya wakuu wake, na juu ya makuhani wake, na juu ya watu wa nchi hii.

Kusoma sura kamili Yer. 1

Mtazamo Yer. 1:18 katika mazingira