Yer. 1:5 SUV

5 Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Kusoma sura kamili Yer. 1

Mtazamo Yer. 1:5 katika mazingira