Yer. 13:27 SUV

27 Nimeona machukizo yako, naam, uzinifu wako, na ubembe wako, na uasherati wa ukahaba wako, juu ya milima katika mashamba. Ole wako, Ee Yerusalemu! Hutaki kutakaswa; mambo hayo yataendelea hata lini?

Kusoma sura kamili Yer. 13

Mtazamo Yer. 13:27 katika mazingira