Yer. 14:9 SUV

9 Kwa nini wewe umekuwa kama mtu aliyesituka, kama shujaa asiyeweza kuokoa? Lakini wewe, BWANA, u katikati yetu, nasi tunaitwa kwa jina lako; usituache.

Kusoma sura kamili Yer. 14

Mtazamo Yer. 14:9 katika mazingira