Yer. 15:20 SUV

20 Nami nitakufanya kuwa kama ukuta wa boma la shaba juu ya watu hawa; nao watapigana nawe; lakini hawatakushinda; maana mimi nipo pamoja nawe, ili nikuokoe, na kukuponya, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 15

Mtazamo Yer. 15:20 katika mazingira