Yer. 15:8 SUV

8 Wajane wao wameongezeka kwangu kuliko mchanga wa bahari; nimeleta mwenye kuteka wakati wa adhuhuri juu ya mama wa vijana; nimeleta hamu na maogofyo yampate ghafula.

Kusoma sura kamili Yer. 15

Mtazamo Yer. 15:8 katika mazingira