18 Na sasa una nini utakayotenda katika njia iendayo Misri, kunywa maji ya Shihori? Au una nini utakayotenda katika njia iendayo Ashuru, kunywa maji ya ule Mto?
Kusoma sura kamili Yer. 2
Mtazamo Yer. 2:18 katika mazingira