Yer. 2:24 SUV

24 punda wa mwitu aliyeizoelea nyika, avutaye pumzi za upepo katika tamaa yake; katika wakati wake ni nani awezaye kumgeuza? Wote wamtafutao hawatajichokesha nafsi zao; katika mwezi wake watamwona.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:24 katika mazingira