Yer. 2:33 SUV

33 Jinsi ulivyoitengeneza njia yako ili kutafuta mapenzi! Kwa sababu hiyo hata wanawake wabaya umewafundisha njia zako.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:33 katika mazingira