Yer. 20:10 SUV

10 Maana nimesikia mashutumu ya watu wengi; hofu ziko pande zote. Rafiki zangu wote, wanaonivizia nisite, husema, Mshitaki, nasi tutamshitaki, huenda akahadaika, nasi tutamshinda, tutajilipiza kisasi kwake.

Kusoma sura kamili Yer. 20

Mtazamo Yer. 20:10 katika mazingira