Yer. 27:5 SUV

5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.

Kusoma sura kamili Yer. 27

Mtazamo Yer. 27:5 katika mazingira