Yer. 29:16 SUV

16 Maana BWANA asema hivi, katika habari za mfalme aketiye katika kiti cha enzi cha Daudi, na katika habari za watu wote wakaao ndani ya mji huu, ndugu zenu wasiokwenda pamoja nanyi kufungwa;

Kusoma sura kamili Yer. 29

Mtazamo Yer. 29:16 katika mazingira