Yer. 31:18 SUV

18 Hakika nimemsikia Efraimu, akijililia hivi, Umeniadhibu, nami nikaadhibika, kama ndama asiyeizoelea nira; unigeuze, nami nitageuzwa; kwa maana wewe u BWANA, Mungu wangu.

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:18 katika mazingira