Yer. 40:14 SUV

14 wakamwambia, Je! Una habari wewe ya kuwa Baalisi, mfalme wa wana wa Amoni, amemtuma Ishmaeli mwana wa Nethania, akuue? Lakini Gedalia, mwana wa Ahikamu, hakusadiki neno hili.

Kusoma sura kamili Yer. 40

Mtazamo Yer. 40:14 katika mazingira