Yer. 5:7 SUV

7 Nawezaje kukusamehe? Watoto wako wameniacha mimi, na kuapa kwa hao ambao si miungu; nilipokuwa nimewashibisha chakula, walizini, wakakutana wengi pamoja katika nyumba za makahaba.

Kusoma sura kamili Yer. 5

Mtazamo Yer. 5:7 katika mazingira