Yer. 51:56 SUV

56 Kwa maana mwenye kuangamiza amefika kwake;Naam, amefika Babeli;Na mashujaa wake wametwaliwa;Pinde zao zimevunjika kabisa;Maana BWANA ni Mungu wa kisasi;Hakika yake yeye atalipa.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:56 katika mazingira