Yer. 51:58 SUV

58 BWANA wa majeshi asema hivi, Kuta pana za Babeli zitabomolewa kabisa, na malango yake marefu yatateketezwa; nao watu watajitaabisha kwa ubatili, na mataifa kwa moto; nao watachoka.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:58 katika mazingira