Yer. 52:10 SUV

10 Ndipo mfalme wa Babeli akawaua wana wa Sedekia mbele ya macho yake; pia akawaua wakuu wote wa Yuda huko Ribla.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:10 katika mazingira