Yer. 6:26 SUV

26 Ee binti wa watu wangu, ujivike nguo ya magunia, na kugaagaa katika majivu; fanya maombolezo, kama maombolezo kwa ajili ya mwana wa pekee, maombolezo ya uchungu mwingi; maana mwenye kuteka nyara atakuja juu yetu ghafula.

Kusoma sura kamili Yer. 6

Mtazamo Yer. 6:26 katika mazingira