Yer. 8:6 SUV

6 Nalisikiliza nikasikia, lakini walisema yasiyo sawa; hapana mtu aliyetubia maovu yake, akisema, Nimefanya nini? Kila mtu hurudia mwendo wake mwenyewe, kama farasi aendavyo kasi vitani.

Kusoma sura kamili Yer. 8

Mtazamo Yer. 8:6 katika mazingira