Yer. 9:8 SUV

8 Ulimi wao ni mshale ufishao; husema maneno ya hadaa; mtu mmoja husema maneno ya amani na mwenzake kwa kinywa chake, lakini moyoni mwake humwotea.

Kusoma sura kamili Yer. 9

Mtazamo Yer. 9:8 katika mazingira