Zek. 10:1 SUV

1 Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA afanyaye umeme, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi kondeni.

Kusoma sura kamili Zek. 10

Mtazamo Zek. 10:1 katika mazingira