Zek. 13:7 SUV

7 Amka, Ee upanga, juu ya mchungaji wangu, na juu ya mtu aliye mwenzangu, asema BWANA wa majeshi; mpige mchungaji, nao kondoo watatawanyika; nami nitaugeuza mkono wangu juu ya wadogo.

Kusoma sura kamili Zek. 13

Mtazamo Zek. 13:7 katika mazingira