Zek. 14:14 SUV

14 Yuda naye atafanya vita juu ya Yerusalemu; na huo utajiri wa mataifa wa pande zote utakusanyika, dhahabu, na fedha, na mavazi; vitu vingi sana.

Kusoma sura kamili Zek. 14

Mtazamo Zek. 14:14 katika mazingira