Zek. 4:11 SUV

11 Ndipo nikajibu, nikamwambia, Ni nini mizeituni hii miwili iliyo upande wa kuume wa kinara cha taa kile na upande wake wa kushoto?

Kusoma sura kamili Zek. 4

Mtazamo Zek. 4:11 katika mazingira