Zek. 6:6 SUV

6 Gari lile lenye farasi weusi latoka kwenda hata nchi ya kaskazini; nao farasi weupe wakatoka wakafuata nyuma yao; na wale wa rangi ya kijivujivu wakatoka kwenda hata nchi ya kusini.

Kusoma sura kamili Zek. 6

Mtazamo Zek. 6:6 katika mazingira