1 Petro 1:11 BHN

11 Walijaribu kujua nyakati na mazingira ya tukio hilo, yaani wakati alioudokezea Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao, akibashiri juu ya mateso yatakayompata Kristo na utukufu utakaofuata.

Kusoma sura kamili 1 Petro 1

Mtazamo 1 Petro 1:11 katika mazingira