1 Petro 1:14 BHN

14 Kama watoto wa Mungu wenye utii, msikubali kamwe kufuata tena tamaa mbaya mlizokuwa nazo wakati mlipokuwa wajinga.

Kusoma sura kamili 1 Petro 1

Mtazamo 1 Petro 1:14 katika mazingira