1 Petro 1:20 BHN

20 Yeye alikuwa ameteuliwa na Mungu kabla ya ulimwengu kuumbwa, akafunuliwa siku hizi za mwisho kwa ajili yenu.

Kusoma sura kamili 1 Petro 1

Mtazamo 1 Petro 1:20 katika mazingira