16 Ishini kama watu huru; lakini msiutumie uhuru wenu kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa Mungu.
Kusoma sura kamili 1 Petro 2
Mtazamo 1 Petro 2:16 katika mazingira