1 Maadamu Kristo aliteseka kimwili, nanyi pia mnapaswa kujiimarisha kwa nia hiyo yake; maana mtu akisha teseka kimwili hahusiki tena na dhambi.
Kusoma sura kamili 1 Petro 4
Mtazamo 1 Petro 4:1 katika mazingira