1 Petro 4:12 BHN

12 Wapenzi wangu, msishangae kuhusu majaribio makali mnayopata kana kwamba mnapatwa na kitu kisicho cha kawaida.

Kusoma sura kamili 1 Petro 4

Mtazamo 1 Petro 4:12 katika mazingira