1 Petro 4:16 BHN

16 Lakini kama mtu akiteseka kwa sababu ni Mkristo, basi, asione aibu, bali amtukuze Mungu, kwa sababu mtu huyo anaitwa kwa jina la Kristo.

Kusoma sura kamili 1 Petro 4

Mtazamo 1 Petro 4:16 katika mazingira