13 Jumuiya ya wenzenu walioteuliwa na Mungu hapa Babuloni wanawasalimuni. Vilevile mwanangu Marko anawasalimuni.
Kusoma sura kamili 1 Petro 5
Mtazamo 1 Petro 5:13 katika mazingira