2 mlichunge lile kundi la Mungu mlilokabidhiwa; mlitunze si kwa kulazimika, bali kwa hiari kama atakavyo Mungu. Fanyeni kazi hiyo si kwa tamaa ya fedha, bali kwa moyo wenu wote.
Kusoma sura kamili 1 Petro 5
Mtazamo 1 Petro 5:2 katika mazingira