12 Namshukuru Bwana wetu Yesu Kristo aliyenipa nguvu kwa ajili ya kazi yangu. Namshukuru kwa kuniona mimi kuwa ni mwaminifu, akaniteua nimtumikie,
Kusoma sura kamili 1 Timotheo 1
Mtazamo 1 Timotheo 1:12 katika mazingira