1 Timotheo 1:15 BHN

15 Usemi huu ni wa kuaminika, na tena unafaa kukubaliwa kabisa: Kristo Yesu alikuja ulimwenguni kuwaokoa wenye dhambi. Nami ni mkosefu zaidi kuliko hao wote,

Kusoma sura kamili 1 Timotheo 1

Mtazamo 1 Timotheo 1:15 katika mazingira