1 Timotheo 1:17 BHN

17 Kwake yeye aliye Mfalme wa milele, asiyekufa, asiyeonekana na aliye Mungu pekee – kwake viwe heshima na utukufu milele na milele! Amina.

Kusoma sura kamili 1 Timotheo 1

Mtazamo 1 Timotheo 1:17 katika mazingira