7 Kwa sababu hiyo mimi nilitumwa niwe mtume na mwalimu wa watu wa mataifa, niutangaze ujumbe wa imani na ukweli. Nasema ukweli; sisemi uongo!
Kusoma sura kamili 1 Timotheo 2
Mtazamo 1 Timotheo 2:7 katika mazingira