1 Wakorintho 1:10 BHN

10 Ndugu, nawasihini kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo: Pataneni nyote katika kila jambo msemalo; yasiweko mafarakano kati yenu; muwe na fikira moja na nia moja.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 1

Mtazamo 1 Wakorintho 1:10 katika mazingira