1 Wakorintho 1:26 BHN

26 Ndugu, kumbukeni wakati mlipoitwa: Wengi wenu hawakuwa wenye hekima hata kwa fikira za binadamu; wengi hawakuwa wenye nguvu au watu wa tabaka la juu.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 1

Mtazamo 1 Wakorintho 1:26 katika mazingira