1 Wakorintho 10:27 BHN

27 Kama mtu ambaye si mwaamini akiwaalikeni nanyi mkakubali kwenda, basi, kuleni vyote atakavyowaandalieni bila kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 10

Mtazamo 1 Wakorintho 10:27 katika mazingira