22 Je, hamwezi kula na kunywa nyumbani kwenu! Au je, mnalidharau kanisa la Mungu na kuwaaibisha hao wasio na kitu? Niwaambie nini? Niwasifu? La hasha! Si kuhusu jambo hili.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 11
Mtazamo 1 Wakorintho 11:22 katika mazingira