1 Wakorintho 12:10 BHN

10 humpa mmoja kipaji cha kufanya miujiza, mwingine kipaji cha kusema ujumbe wa Mungu, mwingine kipaji cha kubainisha vipaji vitokavyo kwa Roho na visivyo vya Roho; humpa mmoja kipaji cha kusema lugha ngeni, na mwingine kipaji cha kuzifafanua.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 12

Mtazamo 1 Wakorintho 12:10 katika mazingira