1 Wakorintho 12:12 BHN

12 Kama vile mwili ulivyo mmoja wenye viungo vingi, na viungo hivyo vyote – ingawaje ni vingi – hufanya mwili mmoja, ndivyo ilivyo pia kwa Kristo.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 12

Mtazamo 1 Wakorintho 12:12 katika mazingira