1 Wakorintho 12:28 BHN

28 Mungu ameweka katika kanisa: Kwanza mitume, pili manabii, tatu waalimu; kisha ameweka wale wenye kipaji cha kufanya miujiza, kuponya na kusaidia; viongozi na wenye kusema lugha ngeni.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 12

Mtazamo 1 Wakorintho 12:28 katika mazingira