1 Wakorintho 14:34 BHN

34 Kama ilivyo desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu, wanawake wakae kimya katika mikutano ya waumini. Hawana ruhusa kusema; ila wawe watii kama isemavyo sheria.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 14

Mtazamo 1 Wakorintho 14:34 katika mazingira