1 Wakorintho 14:9 BHN

9 Hali kadhalika na nyinyi, kama ulimi wenu hausemi kitu chenye kueleweka, nani ataweza kufahamu mnayosema? Maneno yenu yatapotea hewani.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 14

Mtazamo 1 Wakorintho 14:9 katika mazingira