1 Sasa, ndugu, napenda kuwakumbusha ile Habari Njema niliyowahubirieni, nanyi mkaipokea na kusimama imara ndani yake.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15
Mtazamo 1 Wakorintho 15:1 katika mazingira